FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

Hivi hawa viumbe wamepiga hata shuti moja golini lipa akadaka.?
 
Nimekaa tayari kusikia Comments zenu wana Yanga SC mliopo JamiiForums na ambao kwa sasa mnaugulia Kipigo cha Goli Mbili za Mtunisia.
 
Hamna mchezaji pale ingawa huyu mshenzi foul zake za kudunda ni hatari hadi sasa anataka kupiga mashuti ya kudunda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…