FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

Yanga hakuna winga anayejua kufosi kama Morrison, Moloko, Kisinda na Farid hakuna kitu. Jamaa hawakuonesha mpira wowote zaidi ya kuizidi Yanga kwenye mipira ya juu kutokana na aina ya mabeki wetu
Jamaa hawakuonesha mpira wowote lakini wamewakaanga bao mbili.
 
Acha undezi wewe, Simba iliyojaza viungo kibao jana mbona wamepasuka mbele ya timu mbovu? Umekaririshwa eti, Mpira ndivyo ulivyo kuna mistake ukifanya unaadhibiwa wametumia nafasi walizopata na yanga wamejifunza kitu
Kujaza viungo wakabaji tupu sio ndio kupata matokeo. Ila kuna umuhimu wa timu kuwa na kiungo mmoja kwaajili ya kunusa hatari kabla ya kufikiwa golini. Nimezungumzia factor tatu mbona kimo cha Kibwana hauizungumzii. Kibwana anawezaje kumuweka nje lomalisa?
 
🤣🤣
CA9BC7E9-1B16-4A16-A1FC-DD6C66C24690.jpeg
 
Baada ya Jana wale wazurulaji wa kimataifa kuliaibisha taifa, leo mabingwa wa nchi na timu ya Wananchi wa Tanzania Young Africans Leo wanaenda kulipa taifa raha[emoji123][emoji123][emoji1732][emoji1732]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jamaa hawakuonesha mpira wowote lakini wamewakaanga bao mbili.
Ndio hivyo mpira kuna matokeo halafu kuna performance. Mfano jana Simba imefungwa na timu ambayo haikuonesha mpira wowote wa ajabu.
 
Huyo Doumbia amekuja kufanya nini? Beki yetu ina shida ktk kucheza kross,
Bangala nae nafasi ya beki hapo mara nyingi nae huchomesha
 
Back
Top Bottom