FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

Wanaume mnazidi kuinamishwa na kuwa mashoga, nyie watoto wa sikuhiz mnatia aibu, upo serious una angalia misuri ya mwanaume mwenzako badala ya kuangalia mpira... Una discuss misuri ya mwanaume mwenzako umekua shoga au mwanamke..? 😅
Haya wake zangu na mashoga nijibuni mume wenu nawasubiri
 
daa najuta kwa nini sikuwahi kula mapema naenda kulala na njaa

Mpaka wakati mwingine,mara nyingine

Daima mbele,nyuma mwiko 💛💚💛💚💛💚💛💚💪💚💛💚💛💚💪,we will baunsi baki


Come on you Citizens

😂😂😂😂😂daah

Kisinda ni Kibu aliyechangamka😄😄😄😄😄

Wewe upo nyuma Kwa pwointi ngapi[emoji23][emoji23]

Tunatazama mechi ijayo,hii imepita
Haya tusipishane stepu, twende kama Mayele

Kwaya master wetu ni ukikaidi utapigwa2
Your browser is not able to display this video.
 
kuna muda wanataman wachimbe shimo wajifukiee lakin ardhi ngum✅✅
mr_stev001
 

Attachments

  • 153CA525-DA93-411F-BA9F-CF154ABD973D.jpeg
    43 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…