Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Kwani upo wapi kwa sasa?Ningekuwa nipo home, ningeangalia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani upo wapi kwa sasa?Ningekuwa nipo home, ningeangalia.
Bora Kisinda Kuliko Faridi, Faridi anazingua sana
Naona unatafuta pakutokea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Simba Jana imepata point 3 huku horoya ikicheza bila mashabiki wake, hongereni.
Ile free header goli ya pili hata kumbughuzi wameshindwa. Tukiwa golini kwao tumepoa.wepesi sana kuzubaa kwa wachezaji kumetugha
Kwa hiyo Jemedari Said Kazumari yupo sahihi?Siyo ubovu,kimo ni maumbile ya Sir God,hilo liheshimike.......we hukuona Boko jana alikutana na watu warefu kwake 😂😂😂
Hawa wetu. Wametutangulia tu ila tunawamudu. 2-2 full timeUnaota we mdada
Binafsi Kwa game ilivyo sioni uchawi wowote ila ni makosa pale back four...... magoli yote ya mipira ya kutengwaHivi mnadhani mnapowarogaga wenzenu Kwa Mkapa kwamba na wao hawajui kutumia uchawi kwenye home ground?
Mechi za Africa kupata matokeo away ujipange hasa, otherwise labda upangwe na timu nyepesi kama Zalan na De Agosto unampiga mtu 3 nyumbani kwake.
Mechi kama hizi za makundi na ugenini, point 1 tu inatosha. Ningekuwa mimi ndiyo kocha, ningejaza viungo wengi wakabaji na wachezeshaji.Game mmetawala vizuri hakuna sehemu utaweza kumlaumu kocha
Tatizo mmefanya mazoea kila mnapopata matokeo mabaya mnaona sababu ni kocha
Kinachofanyika hapa ni Quality ya mchezaji mmoja mmoja, hii mechi ndio imeamuliwa hivyo
takwimu umeona lakiniMsiwalaumu yanga, walienda huko kufanya maonyesho ya majacket na mizura.
"Yanga inajua kuvaa" [emoji23][emoji23]
kuna timu iliwahi kimbia namna hii kwa yangaGeti lifungwe wanaweza wasirudi hawa
Kisinda na Moroco ni magunia ya misumari tuliyonayo kwa sasaToa Kisinda ingiza Musonda, Kibwana apumzike aingie Lomalisa.