FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums78260691.jpg
 
Huwa wanapambana sana second half. Ngoja tuwaone.
 
Hivi mnadhani mnapowarogaga wenzenu Kwa Mkapa kwamba na wao hawajui kutumia uchawi kwenye home ground?

Mechi za Africa kupata matokeo away ujipange hasa, otherwise labda upangwe na timu nyepesi kama Zalan na De Agosto unampiga mtu 3 nyumbani kwake.
Binafsi Kwa game ilivyo sioni uchawi wowote ila ni makosa pale back four...... magoli yote ya mipira ya kutengwa
 
Game mmetawala vizuri hakuna sehemu utaweza kumlaumu kocha

Tatizo mmefanya mazoea kila mnapopata matokeo mabaya mnaona sababu ni kocha

Kinachofanyika hapa ni Quality ya mchezaji mmoja mmoja, hii mechi ndio imeamuliwa hivyo
Mechi kama hizi za makundi na ugenini, point 1 tu inatosha. Ningekuwa mimi ndiyo kocha, ningejaza viungo wengi wakabaji na wachezeshaji.

Mbele angebakia Mayele peke yake kwa ajili ya counter attack.
 
Back
Top Bottom