FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

takwimu umeona lakini

naongoza kumiliki mpira na kuwafikia langoni hawa weupe kwetu
Simba aliongoza kwa takwimu game yake na ASVITA CLUB na akafa 5, au umesahau?

Kuongoza hakuna maana yoyote ikiwa unafungwa magoli rahisi
 
Yanga wanacheza vizuri, mpira wanatawala wao

Golini kwa mpinzani wanafika sana wao

Hawa Minastr wanawazidia wapi Yanga?
"Chenga twawala, magoli wapata wao sheikh"

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom