FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

Huyu Nabi hiyo timu Yake Ya Home...!

Huenda Moyoni anafurahia Jinsi Mambo yanavyoenda..huwezi jua.!

Hapo Bado hatuna hakika Na Manara Kwa Matokeo Haya Moyoni anafurahia au ni Kweli anaumia..!

Mamluki Sio Watu..!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Aliyewakosesha magoli ni huyu cheusi
Screenshot_20230212-211057.png
 
Magoli ya kuunganisha bila kutoa lazima "binti" aweweseke.Dakika 10 kimoja,dakika ya 15 cha pili.
Mara maji yamezidi ikawa kupiga "brashi " tu muda uende.
 
Approach yake ya away ni ovyo, away anza kwa kujilinda kwa kutafuta sare hivyo viungo wakabaji ni muhimu.
Team selection ni ovyo, Lomalisa sio mchezaji wa kukaa benchi. Ni mrefu na ana offer vitu vingi kuliko Kibwana.
Yule beki wa kutoka Mali kaletwa kama urembo sio kwaajili ya mechi za kimataifa ama.
Mayele kawa floppy wa mechi ya leo na hakustaili kumaliza dakika 90, ni mmoja wa mchezaji aliyeharibu move nyingi.
Mmeanza...!!! Mlitegemea nini zaidi ya hicho mlichopata!? Ncho hii mtawala ni mmoja tu kimataifa. Weekend ijayo mnakwenda kulitia aibu kubwa Taifa.
 
Back
Top Bottom