Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
kuna muda wanataman wachimbe shimo wajifukiee lakin ardhi ngum[emoji736][emoji736]
mr_stev001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna muda wanataman wachimbe shimo wajifukiee lakin ardhi ngum[emoji736][emoji736]
mr_stev001
Aha kaka Mshana Jr.10' GOOOOOOOOOOOOOO Yanga wanafungwa goli la kwanza
16' GOOOOOOOOOOOOOOO, Yanga wameruhusu magoli mawili ndani ya dakika 16[emoji2827]
Mwulize Morison.Azizki Ki kakunja bukta imekuwa kama pempasi lakini bado watu hawana huruma hata uki behave kitoto
Huyu mtoto ni nuksi sama kwa sisi wana Yanga.
Una hasira wee sio bureee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume mnazidi kuinamishwa na kuwa mashoga, nyie watoto wa sikuhiz mnatia aibu, upo serious una angalia misuri ya mwanaume mwenzako badala ya kuangalia mpira... Una discuss misuri ya mwanaume mwenzako umekua shoga au mwanamke..? [emoji28]
Haya wake zangu na mashoga nijibuni mume wenu nawasubiri
super f..lKwani wanaugua mshipa? [emoji23]
Anafakamia kitimoto kufurahia kipigo cha Utopolo
Hii picha nimeiina juzi nikabaki nacheka tu
Mdudu hanuniwi mkuu, labda utakuwa na matatizo binafsiHii picha nimeiina juzi nikabaki nacheka tu
Huyu si nasikia alienda hadi uarabuni kusomea dini?
Au siku hizi kaokoka?
Pombe,bangi, shisha kitumoto mwamba anahalalisha tuHii picha nimeiina juzi nikabaki nacheka tu
Huyu si nasikia alienda hadi uarabuni kusomea dini?
Au siku hizi kaokoka?
Huu uwezo wa kutabiri wekeza nguvu kwenye mikeka utatoboaYanga mnajikuta wenyewe sijui akina nani [emoji23][emoji23][emoji23]...
Eti mabingwa watarajiwa wa CAF CC [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yanga wakijitahidi sana watapata point 1 au 3 kwa Real Bamako hapo kwa Mkapa ila hizo mechi 4 zote lazima apokee kichapo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye hili kundi lazima mburuze mkia kwa Point 1 au 3 ila hamtozidi 4, sawa ???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]