FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

Simba wajitahidi kukomaa hadi dakika 90 waondoke na alama tatu, hawa Vipers kama watapata sare leo inaweza ikafanya mechi ya marudiano ikawa ngumu sana kwa Simba. Jamaa wana kasi sana kinachowangusha ni ubutu tu wa washambuliaji wao. Hivyo Simba waanzie huku huku kuwakata matumaini
 
Simba haichezi mpira wa kimashindano kabisa.
Yaani km wanacheza na ihefu fc..

Isee wachezaji wanatuvunja moyo washabikii lile pira birianii limepotelea wapi?
 
Simba haichezi mpira wa kimashindano kabisa.
Yaani km wanacheza na ihefu fc..

Isee wachezaji wanatuvunja moyo washabikii lile pira birianii limepotelea wapi?
Unataka point au mabiriani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…