FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

Fp0ijnzXoAg8TDo.jpg
 
Yani makosa bado yaleyale tu, Chama kama winger bado haina impact kwetu... Huwezi kumuweka acheze winga kiungo wako bora wa uzalishaji magoli...
Chama mbona anakuwa huru tu uwanjani bila kujalisha kapangwa namba gani
 
Anaye kuchukia ni lazima atakutia hila, ila anayekusifia nia ni kukupunguzia hasira

So cheza na hao wawili vyema, ki clever kiakili tena mkakati safi ndindindi classic jidenna

Fareed
 
Chama mbona anakuwa huru tu uwanjani bila kujalisha kapangwa namba gani
Na hilo ndio tatizo letu, team inakosa balance nzuri. Chama mara nyingi anaingia ndani alipo Saido badala ya kutanua uwanja. Matokeo yake upande ule Zimbwe anazidiwa maana space inabaki kubwa. Tunahitaji typical wing-back, it's better Phiri angecheza pembeni, Chama na 10 na Saido kama namba 9 kivuli atleast ingekuwa na faida angalau.
 
We jamaa unaujua mpira.
 
Kinachonipa imani ya hawa majamaa kupigwa ni kwamba timu inayocheza soka la kushambulia na ku posses hua hayafurukuti. Yanapenda sana timu under dog na zile za kupak basi huku yenyewe yakiwa yanashambulia tu huku wapinzani wao wakiwa na kazi ya kuokoa. Hizo ndo game Yanapenda.
 
VIPERS leo ndo tunaanza hatua ya makundi, tunampasua mtu kama 4 hivi
 
Back
Top Bottom