utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utauacha huu uzi baadae, Simba ameingia Uganda akiwa na kiu ya damu ya motro nayo ataipata pale kwa hao nyoka wa jangwani.Vipers kama kawaida yenu piga hao thimba bao 2 tu zinatosha waendelee kuburuza mkia
Vipers nguvu 3Mungu ni mwema kila wakati
Simba nguvu moja
TunawategemeaManeno ya kocha wa Simba kuelekea mchezo wa leo jioniView attachment 2529629
Na uzi wa title hii atakuja nao GENTAMYCIME ambae tangu apigwe ban anatumia id ya MINOCYCLINE"Hongera kwa wale wanaoihujumu timu"
Tayari yupo uraiani Ametoroka jela leoNa uzi wa title hii atakuja nao GENTAMYCIME ambae tangu apigwe ban anatumia id ya MINOCYCLINE
Bantu Ladyyyyyyyyyyyyy....[emoji38]Hayo matokeo yawekwe juu chini.
Uwanja wa St. Mary's huwa wanatoka, ila wanaenda kulala na viatu..
Kwetu tuna wakwe zetu Waganda, lazima niwaunge mkono wakwe.
#Lolote linaweza kutokea...
Mbona kinyonge sana mtani?Mungu ni mwema kila wakati
Simba nguvu moja