FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

Ni siku nyingine tena ambapo Mabingwa wa Uganga Vipers S.C wanawakaribisha Simba S.C kwenye mchezo mwingine wa kutafuta alama tatu ili kujiweka sawa katika msimamo wa kundi C wa ligi ya Mabingwa barani Afrika.
Mchezo huu utapigwa kwenye dimba la mtakatifu Maria huko Kitende nchini Uganda.

Ikumbukwe kuwa Simba ndio vibonde wa kundi hili wakiwa mkiani mwa kundi bila point yoyote huku wakiwa hawajafunga goli lolote, hivyo wataingia wakiwa na kiu ya kupata ushindi ili angalau waweze kufufua matumaini ya kufuzu hatua inayofuata

Kwa upande wa wenyeji Vipers wao pia Hali yao sio nzuri japo wana point moja hivyo ushindi kwao ni muhimu ili kuendelea kuwa na ndoto za kutinga robo fainali.

Je mnyama atapindua meza ugenini?
Au vipigo vitaendelea?
Majibu yatapatikana ndani ya dakika 90

Mchezo huu utapigwa majira ya saa1.00 usiku wa leo na utakuwa mubashara kupitia ZBC2 ya Azam Tv na channel 229 ya Dstv

N.b Hela za mama Samia bado zipoView attachment 2529472View attachment 2529473View attachment 2529474
was ngapi
 
Hawa jamaa nilipenda angalau washinde hii mechi ila nkifikilia tambo na maneno yao ya kuudhi, nawaombea tu vichapo.

Najua watachapwa ila hasira zao watakuja kuzihamishia kwa yanga tar 16 Aprili. Hapo yanga asipokaa vema anaweza akapoteza hiyo mechi maana yatacheza kufa kupona.
 
Kabisa mkuu
JamiiForums660486551_194x260.jpg

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hawa jamaa nilipenda angalau washinde hii mechi ila nkifikilia tambo na maneno yao ya kuudhi, nawaombea tu vichapo.

Najua watachapwa ila hasira zao watakuja kuzihamishia kwa yanga tar 16 Aprili. Hapo yanga asipokaa vema anaweza akapoteza hiyo mechi maana yatacheza kufa kupona.
Hahaaha
 
Kwa uwezo gan mpaka iwe kufa na kupona???
 
Back
Top Bottom