FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

Maneno ya kocha wa Simba kuelekea mchezo wa leo jioni
20230225_155536.jpg
 
Kwa mara ya kwanza leo katika historia ya Uwanja [emoji2522] wa Mtakatifu Maria mechi itachezwa usiku baada ya kufungwa taa.
Ikumbubwe uwanja huu haukuwa na taa na Mechi zote vipers wamekuwa wakicheza mchana
20230225_160308.jpg
 
Simba ni wazuri sana ilakuna changamoto/matatizo yafuatayo.
1.Mzungu ameharibu mentality ya wachezaji kwakubadiki vitu ambavyo kwa wachezaji waliopo hawezi patamatokeo
2.anagawa wachezaji. ..alianzana chama sasa mkude
3.anajiona anajua kuliko mtu yyt na atashindwa kwa hill.
4.simzuri kwenye sub. ..hapa ndio ttz kubwa lilipo
 
Kikosi kinapaswa kuwa iv

Manura

Beki wawe watatu Inonga/ Kenedy na Onyango ili kufanya Zimbwe na Kapombe wacheze kama mawinga na wale mabeki wawe wanaziba mapengo yao
Kati weka watu wanne Mzamiru/Chama/Kanoute/Saido ila wape maelekezo chama na saido watulie katikati ili tushike dimba

Mbele mweke Phiri mwenyewe
 
Back
Top Bottom