Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
66' Sub kwa Vipers
Desire Tety anaingia kuchukua nafasi ya Galiwango
Desire Tety anaingia kuchukua nafasi ya Galiwango
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thubutuuuu, Hata Okwi kazaliwa 1992
Kawaida, kocha ana badili position waliopo.Nyoni ambadili Phiri? hii imekaaje?
Kocha na benchi la ufundi wapumbavu kabisa. Hawajui hata walifanyalo
Ni kwamba Saidoo kwenye mkataba wake Kuna kipengele hasifanyiwe substitution Nini!? [emoji3][emoji3][emoji3]
Ila denooJ nakukubali uko positive sana lakn Makocha watutendi haki. Timu haieleweki inacheza nini, lakini Makocha hawaoneshi kushtuka.Kawaida, kocha ana badili position waliopo.
SawaSimba wanacheza hovyo tuu hata hako kagoli wamebahatisha
Hata huyo Boko nae hana jipya.
Hawachezi mpira wa malengo, ndio maana hawajafunga goli lolote Michezo minne mfululizo iliyopitaHawa Vipers tokea kipindi cha pili wanashambulia ila hawana hata shot on target moja.
Timu yote imeozaSimba wanacheza hovyo tuu hata hako kagoli wamebahatisha