FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Yanga ndo hana huo uwezo wa kufika hta group stage club bingwa japo wapo na wana kikosi kizuri tu. Huko shirikisho wakikaza sio tu watafika fainali ila hta kombe anaweza kulibeba
 
Nyie mashabiki maandazi mnaojifanya eti mpira butua butua kw stage hii mlitaka mpira mlaini mle??watu wamekuja na tactics zao na mwalimu amefanikiwa...mlitaka tuoge mabao na inawauma sana haijatokea..
Yani mi uto mingine roho zinawauma mission yao not accomplish..misheni ya Simba kuchakazwa na kipigo.....
 
Si walidurushwaa na al hilal hawa yangaa? Au wee mwenzetu huna taarifaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Vitu vingine unasoma na kuishia kuchekaa tyuuh, lol
 
Simba wametolewa that's it nachukia sana excuses hakuna kufa kiume wala kiuwanawake Semi final kaingia wydad na sio simba so Sunday ni siku muhimu sana ya Taifa hili la Tanzania [emoji1241]
Wewe si ulitoka kwenye hatua za awali kabisa, shida inaanza pale mnapojaribu ku-equate CAFCL na CAFCC ili kutafuta faraja na matundu ya kuropokea.

It's Simba Sc katoka hakuna aliyekataa, ila swala la kutaka kuwaanisha watu kuwa mechi ya Simba sc itakuwa na uzito sawa na ule wa Yanga dhidi ya Rivers jpili, ni sawa na kulazimisha mnduku wako utafune muwa wakati sio kazi uliombiwa.
 
Man city mara 3 mfululizo kacheza Robo, Semi, na final na hajachukua kombe la UEFA,
Labda mwakaa huu at least matumaini yapoo.
 

Yanga bado .... hajakutana na viunzi, kumbuka alitolewa na Alhilal..... pia path ya Yanga imekuwa so simple , angepangiwa waarabu wa Misri usingesema haya . Rivers hata hela ya kulala hotelini ni shida .... Jpili anajipigia tu

ILA NAKUBALI kuwa kwa sasa timu nyingi Africa kiwango kimeshuka.... kwa mpira ule wa Wydad ni dhahiri ingekutana na timu yenye pace wangetoka.

Nakiri kuwa Simba ina wastaafu sana ,na game za kimataifa ni speed na nguvu:...hakuna cha kutoka kiume..... ni poor investment na plans
Imagine five years inacheza mechi za kimataifa, yet hata mwaka mmoja kwenda nusu hakuna...,, hii ni ishara ya mbaya kwa simba fans
 
Mashindano yanayohusishaa team tofauti za nje ni tofauti na league ya ndani.

Ukitaka kujua hilo muulize Man city Ndani ya UEFA, atakupa habari.
 
Mwindo tumeumaliza salama., Vita tumeipiga .
Na parapanda imelia, parapanda imelia.
Jobu Junia aka Da Zuu (da Zuwena) mwendo ameumaliza na kombe lake la robo FAINALI amechukua.
[emoji444][emoji445][emoji442][emoji450][emoji447][emoji350][emoji991]
NUSU FAINALI ULIIPENDA lakini penalti za KAPOMBE na MWAMBA WA LUSAKA zilikupenda zaidi.
 
Next match Namungo FC
 
Sasa msimu ukiisha ni wakat muafaka tumrudishe onyango kwao akamuone Yesu kama wenzie!
 

Attachments

  • 255658512395_status_608d3238d001442ea8d2dae949c51861.mp4
    787.5 KB
Kipa kalewa sifa za kwny mech za ihefu na yanga lakini uwezo baado Sana baado
 
Ushabiki ni aina ya uchawi mwingine advanced sana..yani mtu mpk jasho linamtoka anataka mtanzania mwenzie adhalilike...huu ni zaidi ya uchawi
Na hatujadhalilika bali Waidadi wataikumbuka hii mechi kwny historia yao...
Game plan was kujilinda na limetimizwa kwa asilimia 90...
 
Simba imepigana sana tena sana,leo tumeona nguvu halisi ya simba,sio rahis kwa umati ule ugenini,wachezaji wenyeji wanagombana uwanjani mashabiki wanapiga dua si watoto,wakubwa wanawake kwa wanaume...hakika kazi imefanyika leo...rudini tupumzike mwezi wa 9 tuuwashe tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…