FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Makolo kaeni pembeni mtuangalie wanaume sasa tukiwakilisha nchi hiyo jumapili, na rais keshatangaza jtatu ni sikukuu kwa wananchi kuingia nusu fainali.
 
Watani mmepigana vya kutosha....ninaamini mwakani mtarudi mkiwa bora na wazoefu zaidi wa hatua hii ya ROBO FAINALI....kwani mwaka wa 4 sasa mnagotea hapohapo tu [emoji1787][emoji1787]

Hongereni kwa kupambana na kuishia hapohapo tu[emoji7]

#DaimaMbeleNyumaMwiko

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
[emoji106]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mamelod je miaka mitano wameachieve nin?

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Simba mmekufa kiume, msiumie mmejaribu

Mashabik wa simba wanavyo sema wamekufa kiume nakumbuka kuna jamaa mmoja alifumwa na mke wa mtu wahuni wakapasua spika asa wana wakawa wakimuuliza oya hawajakufanya chochote mwana anajibu wamenifir* ila kwa tabu sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kutokwenda shule nayo inaweza kuwa zawadi ya kushinda bet? Simjui Swalehe ila sidhani kama shule imo, kutokwenda shule hakuwezi kufanyika incentive, unless uwe unatania hapa.
Umechukulia serious Sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚labda hata huyo Swalehe hayupo mzee wangu
 
[emoji23]
Hahaha, kuna kioa dalili Swalehe yupo, lakini hata hivyo niliweka phrase "unless uwe ni utani" labda haujaizingatia tu.
Upo serious Sana mkuu [emoji23][emoji23]

I always make several jokes with my son last week nmemfanyia home work kapata akawa anambishia mwalimu akaambiwa Tena

Wewe na baba yako wote Hamna akili [emoji23]

Sisi ni Jokes tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…