FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

ed5451c5-76a9-4781-99b9-1c23498b5e99.jpg
 
Makolo kaeni pembeni mtuangalie wanaume sasa tukiwakilisha nchi hiyo jumapili, na rais keshatangaza jtatu ni sikukuu kwa wananchi kuingia nusu fainali.
 
Watani mmepigana vya kutosha....ninaamini mwakani mtarudi mkiwa bora na wazoefu zaidi wa hatua hii ya ROBO FAINALI....kwani mwaka wa 4 sasa mnagotea hapohapo tu [emoji1787][emoji1787]

Hongereni kwa kupambana na kuishia hapohapo tu[emoji7]

#DaimaMbeleNyumaMwiko

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Simba imepigana sana tena sana,leo tumeona nguvu halisi ya simba,sio rahis kwa umati ule ugenini,wachezaji wenyeji wanagombana uwanjani mashabiki wanapiga dua si watoto,wakubwa wanawake kwa wanaume...hakika kazi imefanyika leo...rudini tupumzike mwezi wa 9 tuuwashe tena
[emoji106]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Yanga bado .... hajakutana na viunzi, kumbuka alitolewa na Alhilal..... pia path ya Yanga imekuwa so simple , angepangiwa waarabu wa Misri usingesema haya . Rivers hata hela ya kulala hotelini ni shida .... Jpili anajipigia tu

ILA NAKUBALI kuwa kwa sasa timu nyingi Africa kiwango kimeshuka.... kwa mpira ule wa Wydad ni dhahiri ingekutana na timu yenye pace wangetoka.

Nakiri kuwa Simba ina wastaafu sana ,na game za kimataifa ni speed na nguvu:...hakuna cha kutoka kiume..... ni poor investment na plans
Imagine five years inacheza mechi za kimataifa, yet hata mwaka mmoja kwenda nusu hakuna...,, hii ni ishara ya mbaya kwa simba fans
Mamelod je miaka mitano wameachieve nin?

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Simba mmekufa kiume, msiumie mmejaribu

Mashabik wa simba wanavyo sema wamekufa kiume nakumbuka kuna jamaa mmoja alifumwa na mke wa mtu wahuni wakapasua spika asa wana wakawa wakimuuliza oya hawajakufanya chochote mwana anajibu wamenifir* ila kwa tabu sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23]
Hahaha, kuna kioa dalili Swalehe yupo, lakini hata hivyo niliweka phrase "unless uwe ni utani" labda haujaizingatia tu.
Upo serious Sana mkuu [emoji23][emoji23]

I always make several jokes with my son last week nmemfanyia home work kapata akawa anambishia mwalimu akaambiwa Tena

Wewe na baba yako wote Hamna akili [emoji23]

Sisi ni Jokes tu
 
Back
Top Bottom