FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Stress Walizonazo Mashabiki wa Awa Waarabu Koko Naona Jinsi gani tunaonyesha Class ya Kua Kwenye Hii Michuano.
Huwa wanasifiwa eti wana vibe mwanzo mwisho, vibe liko wapi sasa?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…