Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga Casablanca mpo bize sana leo, ila mtatoroka wote humu.أيمن الحسوني سيلعب مباراته رقم 60 في دوري ابطال افريقيا رفقة الوداد الرياضي. -59 مباراة -3 أهداف -9 أسيست -سيصبح ثالث اكثر لاعب خوضا لمباريات دوري الأبطال في تاريخ الوداد بعد الثنائي وليد الكرتي ومحمد اوناجم.
Sijui kwanini wameweka mbali hivyo. Ingekuwa saa11, sasa hivi tungekuwa tumelala na viatu🤣🤣Humu ndani presha zenu ziko sawa sawa? Dr niko hapa mtu akiona anashindwa kupumua, aniite. Muda unaenda taratibu leo, ila dakika 90 zitaisha kama sekunde 💃💃💃💃
Mbona kulala na viatu 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻😁😁😁😁😁Sijui kwanini wameweka mbali hivyo. Ingekuwa saa11, sasa hivi tungekuwa tumelala na viatu🤣🤣
Waydad ni ndugu zetu, wasituangushe.Mbona kulala na viatu 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻😁😁😁😁😁
Leo Khamsa khamsa zipo. Wale wakiwa kwao, wanakuwa zaidi ya mnyama mwituni. Nguvu za mababu zao zimelala pale 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Waydad ni ndugu zetu, wasituangushe.
Jamaa wanatisha sana..dah sijui itakuajeRelax my Kaka. Kwani ni video ya leo hiyo? 😂😂😂
Watunyooshee haya madunduka🤣🤣🤣Leo Khamsa khamsa zipo. Wale wakiwa kwao, wanakuwa zaidi ya mnyama mwituni. Nguvu za mababu zao zimelala pale 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Umeandika Kwa mbwembwe Ila kichapo kipo pale paleJioni moja ya mwaka 2003, jijini Cairo nchini Misri kulikuwa na mechi nzito, uwanja ukiwa umetapika kulikuwa na shujaa mmoja aliyekuwa golini akiibeba timu yake ya Simba Sc kwa kupangua mikwaju ya penati na kuivua taji mabingwa watetezi Zamalek. Shujaa huyo si mwingine ni Juma Kaseja. Dunia ikabaki imeduwaa.
Leo 28.04.2023 miaka 20 baadae, Simba ipo tena uarabuni kucheza na bingwa mtetezi ambaye ni Wydad, katika mazingira yaleyale.
Simba atashuka akiwa na mtaji wa goli 1-0 katika mchezo wa kwanza, uliopigwa Tanzania. Je historia kujirudia? Simba ataweza kuivua Wydad ubingwa akiwa kwao kama ilivyokuwa miaka 20 iliyopita pale Zamalek. Sababu wanayo, uwezo wanao nia pia wanayo.
Ni mechi ya kufa au kupona, ewe Mwana Simba uliyepo Ndola, Tanga, Entebbe, Nakuru na maeneo mengine tembea kifua mbele, usiwe mnyonge kwa Simba hii mwarabu atakufa kwao. Je Shujaa atakuwa nani? Baleke, Chama, Inonga au Kiungo punda Mzamiru?
Mechi itakuwa mubashara kuanzia Saa 4:00 Usiku kwa Masaa ya Afrika Mashariki na mchezo utakuwa live kupitia ZBC 2 ya AzamTv, Chaneli 225 ya DStv, Canal Plus na Bein Sports.
Hivi hii mechi naweza kuiangalia kupitia kwenye app gani ?Kuna habari sijui ni za kweli eti kwenye chumba Cha kubadilishia nguo hao waarabu umeonekana unga unaosadikika kuwa ni mkongo [emoji41]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wakati wao wanagonga mafataki jukwaan sisi tutakua tunawagonga uwanjani. Baada ya dakika 90 tutajua nani amegongwa.