FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

‏‎أيمن الحسوني سيلعب مباراته رقم 60 في دوري ابطال افريقيا رفقة الوداد الرياضي. -59 مباراة -3 أهداف -9 أسيست -سيصبح ثالث اكثر لاعب خوضا لمباريات دوري الأبطال في تاريخ الوداد بعد الثنائي وليد الكرتي ومحمد اوناجم.
Yanga Casablanca mpo bize sana leo, ila mtatoroka wote humu.
 
Jioni moja ya mwaka 2003, jijini Cairo nchini Misri kulikuwa na mechi nzito, uwanja ukiwa umetapika kulikuwa na shujaa mmoja aliyekuwa golini akiibeba timu yake ya Simba Sc kwa kupangua mikwaju ya penati na kuivua taji mabingwa watetezi Zamalek. Shujaa huyo si mwingine ni Juma Kaseja. Dunia ikabaki imeduwaa.

Leo 28.04.2023 miaka 20 baadae, Simba ipo tena uarabuni kucheza na bingwa mtetezi ambaye ni Wydad, katika mazingira yaleyale.

Simba atashuka akiwa na mtaji wa goli 1-0 katika mchezo wa kwanza, uliopigwa Tanzania. Je historia kujirudia? Simba ataweza kuivua Wydad ubingwa akiwa kwao kama ilivyokuwa miaka 20 iliyopita pale Zamalek. Sababu wanayo, uwezo wanao nia pia wanayo.

Ni mechi ya kufa au kupona, ewe Mwana Simba uliyepo Ndola, Tanga, Entebbe, Nakuru na maeneo mengine tembea kifua mbele, usiwe mnyonge kwa Simba hii mwarabu atakufa kwao. Je Shujaa atakuwa nani? Baleke, Chama, Inonga au Kiungo punda Mzamiru?

Mechi itakuwa mubashara kuanzia Saa 4:00 Usiku kwa Masaa ya Afrika Mashariki na mchezo utakuwa live kupitia ZBC 2 ya AzamTv, Chaneli 225 ya DStv, Canal Plus na Bein Sports.
Umeandika Kwa mbwembwe Ila kichapo kipo pale pale
 
Leo wydad tunamla kimasihara badala ya FOOTBALL leo itakua full mb*ro
 
Kuna habari sijui ni za kweli eti kwenye chumba Cha kubadilishia nguo hao waarabu umeonekana unga unaosadikika kuwa ni mkongo [emoji41]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom