FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

Huwezi kusema fulani kafanya maamuzi mabovu pasipo kujipa muda kuona matokeo yale maamuzi yake ni yapi. Gamondi alishusha morali ya wachezaji, alishusha fitness ya wachezaji, alishusha viwango vya wachezaji na tukashuhudia Yanga hata ikicheza na KMC au Ken Gold wanapata matokeo kwa tabu asa uliwaza nini kuona timu inayosua sua hata kwa Ken Gold ije ifanye vizuri kwa timu zenye wachezaji wa viwango vya juu katika CAFCL?
 
Kama kawaida ya Yanga (wachovu wa kimataifa), watagusa tu uwanja wa Mkapa na kuachia mechi ikienda MC Alger. Sioni umuhimu wa watu kwenda kushangilia haibu, this is Yanga tunawajuwa kwa mechi za kimataifa.
Haibu ndo nini?? Au ndo kipimo cha kukutambua ulivyo tunapaswa kuanzia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…