FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

Kila la heri mwananchi.

Ah, au basi tu, lolote liwakute, mashabiki hawa vyura wana kamudomo sana.
 
Inshallah

Sema wallah wabillah taufiq
 
Leo ndio tunaenda kumalizia kichaka cha mwisho ambacho mbutembute wamejifichia .

Yaani mwarabu analiwa na kichaka kinafyekwa leo
Yanga 4
Mwarabu 0
 
Huku ni Kwa wanaume .....makolo wabaki kombe la kina mama
Gusa achia tukaage CAFCL leo, Uto ni wababe & wamama watakaoshenyetwa na kurudi NBCPL kugombania nafasi ya 2&3.

Tuliza komwe dogo hilo kombe lina wenyewe...

Utaoga na kuvaa nguo mpya lakini mjini huendi 🐸wahed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…