FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

You should be proud kucheza geoup stage back to back sii mchezo. Ata simba alimbwela hakufanya hivyo mwanzoni.

Next season mjopange robo sasa ila ndio usajili wa maau a sii mmeona wenyewe striker dugi
Yeah exactly ๐Ÿ’ฏ mkuu
 
Mie Ni CHINGA nina Flemu nachukia WATEJA na Namiliki HELCOPTA pale Mwenge Jiulize hela Hapata Wapi... Nikimuona tu mteja Nampa Ugonjwa


๐ŸŠ๐ŸŠ๐ŸŠ๐ŸŠ๐ŸŠ๐ŸŠ kwenda USA kucheck madhara Ya nyumba Yangu ilioungua moto - Nilijenga kwa Tabu Sana kwa Hela za Unyanganyi, Uporaji, Ufisadi, UONGO wa Kuwabambikia kesi Simba kuwa hawajafuzu

 
Tuna Mechi muhimu kama hii alafu Viongozi wa Timu wanaenda kwenye mkutano wa CCM๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ

Siasa na Soka๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Yanga wajilaumu wenyewe, bila kupiga mpira golini, huwezi kupata ushindi, kupigiana pasi na kutawala michezo sio ushindi.
 
Tuna Mechi muhimu kama hii alafu Viongozi wa Timu wanaenda kwenye mkutano wa CCM๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ

Siasa na Soka๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
Mtanii kwani Viongozi ndio wanacheza, wale mashabiki wenu 'full house' kwani hawakutosha, jipangeni msimu ujao na muache midomo ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ