FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

You should be proud kucheza geoup stage back to back sii mchezo. Ata simba alimbwela hakufanya hivyo mwanzoni.

Next season mjopange robo sasa ila ndio usajili wa maau a sii mmeona wenyewe striker dugi
Yeah exactly 💯 mkuu
 
Mie Ni CHINGA nina Flemu nachukia WATEJA na Namiliki HELCOPTA pale Mwenge Jiulize hela Hapata Wapi... Nikimuona tu mteja Nampa Ugonjwa


🏊🏊🏊🏊🏊🏊 kwenda USA kucheck madhara Ya nyumba Yangu ilioungua moto - Nilijenga kwa Tabu Sana kwa Hela za Unyanganyi, Uporaji, Ufisadi, UONGO wa Kuwabambikia kesi Simba kuwa hawajafuzu

Screenshot_2025-01-18-14-45-01-26.png
 
Gusa. Achia. Twenda kwao.

Ni ligi ya mabingwa Afrika, Yanga wakiwa nyumbani watawakaribisha MC Alger katika mchezo wa mwisho wa makundi.

Ni mchezo ambao Yanga atahitaji kushinda ushindi wa aina yoyote ile ili kuweza kufuzu robo fainali.

Yanga imekuwa na fomu nzuri ya matokeo kwa mechi za karibuni lakini MC Alger nae akiwa na rekodi ya kutopoteza mchezo akiwa ugenini msimu huu.

Mechi hii ya aina yake itapigwa saa 10:00 jioni

Kila la heri kwa Mabingwa wa Tanzania, Taifa lipo nyuma yenu.
View attachment 3205353
Dakika ya 26 yng 0-0mca

Dakika ya 27 mca wanakosa goli la wazi

Dakika ya 28
Mudathir amefanyiwa madhambi

Dakika ya 33
Yanga SC wanapata kona

Dakika ya 35
Yanga SC wanapata kona

Dakika ya 36
Mudathir anakosa goli la wazi

Dakika ya 37
Mca wanapoteza muda sana hapa uwanjani

Dakika ya 45+4
𝐇𝐀𝐋𝐅 𝐓𝐈𝐌𝐄

Young Africans SC 0-0 MC Alger
View attachment 3205382
Kipindi cha pili kimeanza
Mabadiliko anatoka musonda anaingia pacome

Dakika ya 48
Yanga SC wanakosa nafasi ya wazi


Dakika ya 50
Yanga SC wanapata kona

Dakika ya 54
Yng 0-0 mca

Dakika ya 58
Yanga SC wanapata freekick

Dakika ya 60
Mca wanachelewesha sana muda

Dakika ya 63
Kibwana anafanyiwa madhambi

Dakika ya 66
Mca wanakosa goli la wazi

Dakika ya 67
Anatoka mudathir anaingia chama

Dakika ya 68
Yanga SC wanapata freekick

Dakika ya 72
Dube anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 74
Chama anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 80
Yng 0-0 mca

Dakika ya 86
Boka amefanya madhambi hapa

Dakika ya 90+7
𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄

Young Africans SC 0-0 MC AlgerView attachment 3205414
Yanga wajilaumu wenyewe, bila kupiga mpira golini, huwezi kupata ushindi, kupigiana pasi na kutawala michezo sio ushindi.
 
Tuna Mechi muhimu kama hii alafu Viongozi wa Timu wanaenda kwenye mkutano wa CCM🚮🚮🚮🚮🚮

Siasa na Soka🚮🚮🚮🚮
Mtanii kwani Viongozi ndio wanacheza, wale mashabiki wenu 'full house' kwani hawakutosha, jipangeni msimu ujao na muache midomo 🤣🤣
 
Back
Top Bottom