Kabisa mkuu🤣🤣🤣Unawapa kazi ngumu mods ya kukupa kifungo. Yaani upigwe ban jukwaa la siasa pekee sio? 🤣😂🤣
hahahaha walitanguliza bahasha kwa ibenge leo lolote liwakuteHakuna ushindi wa kiofisi kama Kwa ibenge.....YANGA OUT...... shwain.
Niko kazini mwayaNjoo geto tuangalie mechi wote.
Gemu ngumu ilikua ya Ibenge hii imeisha utakuja hapa saa kumi na mbili...Katika game zote za Yanga, hii ndio game ambayo nina wasiwasi nayo kuliko kawaida
Nmecheka et watu wa jihad🤣🤣🤣🤣Ila Yanga ni watu wa Jihad Sana tangu kitambo. Leo labda bahati isiwe kwao... Lakini wamepania kweli kweli.
Wapo radhi roho ziwatoke lakini lazima washinde hii gemu.
Hapo ni mpaka watu wa IT waboreshe miundombinu ya JF ndiyo kifungo kitakuhusu 😂🤣😂Kabisa mkuu🤣🤣🤣
Game ya maamuzi hiiKatika game zote za Yanga, hii ndio game ambayo nina wasiwasi nayo kuliko kawaida
Usikimbe TU mkuu 😊☺️Gemu ngumu ilikua ya Ibenge hii imeisha utakuja hapa saa kumi na mbili...
Yanga wapo hivyo... Hata mwaka 1977 walipotundikwa na Simba 6-0 walipambana mpaka Mwisho lakini haikuwa bahati Yao.Nmecheka et watu wa jihad🤣🤣🤣🤣
Jumamosi it's holiday kazi gani tena mpaka jumamosi?Niko kazini mwaya
Bado saa moja na dk 4 nikimbie niende wapi mazee wakati baada ya gemu ni sherehe tu..Usikimbe TU mkuu 😊☺️
Hii gemu ya mwaka 77 wewe uliiona mzee au ndio story tu..Yanga wapo hivyo... Hata mwaka 1977 walipotundikwa na Simba 6-0 walipambana mpaka Mwisho lakini haikuwa bahati Yao.