FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

Kila laheri watani.
Sisi wengine huwa hatuna baya linapokuja suala la timu yoyote ya Tanzania inayoshiriki mashindano ya Kimataifa- huwa tunawaombea heri.
 
Hapo ni mpaka watu wa IT waboreshe miundombinu ya JF ndiyo kifungo kitakuhusu πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
Inawezekana mkuu 😁😁 pilato kasha ku like tayari kwa hukumu yanguπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Yanga innnnnπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…