Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Utopolo wanapigwa Asubui sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kolo mambo yako ya kuoa wanaume wenzio peleka uko uko simba,unaweka gundu lako la hiyo laana kwenye Uzi wetu mtakatifuUtopolo akishinda leo namuoa cocastic
Tuishi humo📌Yanga 2 mc al 1 FT
Inawezekana mkuu 😁😁 pilato kasha ku like tayari kwa hukumu yangu😅😅😅Hapo ni mpaka watu wa IT waboreshe miundombinu ya JF ndiyo kifungo kitakuhusu 😂🤣😂
NdioKam kauwaa Kam dauwaa
Sawa 😀😃Mshinde tu mnywe supu asee
View attachment 3205360
Leo kwa mara ya kwanza watapotezaUtopolo kaeni mkao wa kutaboriwa. Hawa jamaa hawajapoteza ugenini msimu huu. Hamna namna.