FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

Kipofu alitaka kuona mwezi wakamtoboa macho, asanteni waarabu kwa kutupunguzia kelele mjini, sasa utopolo warudi kuendelea kuhonga timu za nbc ili wajisifu kuwa wana kikosi bora

Sasa tutarajie zile nyimbo za "mashindano ya kina mama", "sisi huko tulicheza fainali", "tumewafunga mechi nne mfululizo" kuimbwa sana msimu huu, kufuzu robo fainali mfululizo siyo kwa kila timu, yani watu kwenye mechi za kwanza mrukeruke halafu mtegemee kufuzu kimiujiza kwa kuwatoa watu waliopambana toka mwanzo

Siku ile mlipoambiwa hilal aliwalegezea sababu kashafuzu mkajifanya wabishi eti ubora umerudi, haya leo kapigwa chuma nne na mazembe huko, kama angeamua kukaza unadhani hao vibonde wa kundi wangeambulia hata goli moja
hii haina comeback 😂 😄
 
Poleni sana YOUNG AFRICANS,
You have lost the battle but war continues💪💪
Kila la heri SIMBA SPORTS CLUB Mkafike mbali.
ALUTA KONTINUA
 
Uslzi wangu wenye title ya "machache niliyoyaona kwenye mechi kati ya Yanga na Mc Alger" mmeuunganisha na uzi wa updates ili iweje mazee?

Mbona ni kawaida baada ya mechi wadau wamekuwa wakianzisha uzi wa maoni yao kwa namna walivyoona mechi na nyuzi hazijawahi kufutwa wala kuunganishwa imekuwaje mimi mnifanyie hivi?

Hamjafanya fair

Cookie, Active, Moderator
 
Bantu Lady adriz guseni muachie, wapi point what 😂🤣
FB_IMG_17372159649170054.jpg
 
Uslzi wangu wenye title ya "machache niliyoyaona kwenye mechi kati ya Yanga na Mc Alger" mmeuunganisha na uzi wa updates ili iweje mazee?

Mbona ni kawaida baada ya mechi wadau wamekuwa wakianzisha uzi wa maoni yao kwa namna walivyoona mechi na nyuzi hazijawahi kufutwa wala kuunganishwa imekuwaje mimi mnifanyie hivi?

Hamjafanya fair

Cookie, Active, Moderator

Unakosea hututagi wadau sisi Wenye simba yetu😂😂
 
Back
Top Bottom