Kipofu alitaka kuona mwezi wakamtoboa macho, asanteni waarabu kwa kutupunguzia kelele mjini, sasa utopolo warudi kuendelea kuhonga timu za nbc ili wajisifu kuwa wana kikosi bora
Sasa tutarajie zile nyimbo za "mashindano ya kina mama", "sisi huko tulicheza fainali", "tumewafunga mechi nne mfululizo" kuimbwa sana msimu huu, kufuzu robo fainali mfululizo siyo kwa kila timu, yani watu kwenye mechi za kwanza mrukeruke halafu mtegemee kufuzu kimiujiza kwa kuwatoa watu waliopambana toka mwanzo
Siku ile mlipoambiwa hilal aliwalegezea sababu kashafuzu mkajifanya wabishi eti ubora umerudi, haya leo kapigwa chuma nne na mazembe huko, kama angeamua kukaza unadhani hao vibonde wa kundi wangeambulia hata goli moja