Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 6,581
- 11,572
Tuna Mechi muhimu kama hii alafu Viongozi wa Timu wanaenda kwenye mkutano wa CCM🚮🚮🚮🚮🚮
Siasa na Soka🚮🚮🚮🚮
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuna Mechi muhimu kama hii alafu Viongozi wa Timu wanaenda kwenye mkutano wa CCM🚮🚮🚮🚮🚮
Siasa na Soka🚮🚮🚮🚮
Mwanangu tuvute bangi shisha miyeyusho
😃😀😀😀Mtanii kwani Viongozi ndio wanacheza, wale mashabiki wenu 'full house' kwani hawakutosha, jipangeni msimu ujao na muache midomo 🤣🤣
Ile mechi ya simba refaa aliongeza Dk kufidia huo upumbavu wao. Kuna jamaaa wakawa wanataka kuwapiga wanasimba na mwikoo😂😂😂Binafsi nahisi hii mechi imechezwa Kwa takribani dk 40 tu....!! Warabu wamelala mara nyingi sana kuliko hata idadi ya mipira waliorusha, na kila wakilala zinakatika dk angalau 2.
Hawa jamaa itabidi Caf waangalie kukomesha hii tabia Yao, ni Tabia ya ovyo sana sio ya kiuanamichezo.
Wangetumia FOUR FIGURE wakaangalia vizuri upande wa "cos",tatizo wamekomaa na upande wa "sin"Calculator imezima uwanja wa Taifa.
Bora tumpe Magoma hii timu..Tuna Mechi muhimu kama hii alafu Viongozi wa Timu wanaenda kwenye mkutano wa CCM🚮🚮🚮🚮🚮
Siasa na Soka🚮🚮🚮🚮
Mbona ametoka Vizuri na kahojiwa?. Utani tuache tunachekana kwenye matokeo kwenye uhai hatujafika😔Tunampeleka alikamwe aghakhan hapa usicheke hata mie nilikuwa nalia hapa