FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

Wanasema mambo ya watu wakubwa haya..tuliwaamini Yanga mtatetea hadhu ya Taifa na pia kufanga waarabu wapaogope hapa lakini leo mmecheza kama mpo ugenini
 
Binafsi nahisi hii mechi imechezwa Kwa takribani dk 40 tu....!! Warabu wamelala mara nyingi sana kuliko hata idadi ya mipira waliorusha, na kila wakilala zinakatika dk angalau 2.

Hawa jamaa itabidi Caf waangalie kukomesha hii tabia Yao, ni Tabia ya ovyo sana sio ya kiuanamichezo.
Ile mechi ya simba refaa aliongeza Dk kufidia huo upumbavu wao. Kuna jamaaa wakawa wanataka kuwapiga wanasimba na mwikoo😂😂😂
 
Eti nasikia kuna sheria ya best looser yanga anapita makundi🐼
 
Back
Top Bottom