FT: Yanga 0-1 Azam | VPL | Benjamin Mkapa | April 25, 2021

FT: Yanga 0-1 Azam | VPL | Benjamin Mkapa | April 25, 2021

Kila la kheri Azam
1619371558995.png
 
Dk ya kumi ; free kick azam
 
Lyangaaaaaa..... anakosaaa
 
Carinho... saidooo,,,,, anapoteza dk ya 12
 
Wadada anawekwa chini.... wanapiga azam kwa kurudisha nyuma
 
Wanakosaaaaa nafasi ya wazi hapa azam, Lyangaa upewe nini
 
Nje ya 18, azam wanapata nafasi ya kucheza free kick dakika ya 15 ya mchezo
 
Mukoko anapewa kadi ya njano, kadi ya kwanza ya mchezo
 
Back
Top Bottom