Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kikuweli hii yanga ya leo kwa aina hii ya uchezaji unaipa mashaka na kunifikirisha sanaKiwango cha Yanga leo kimeshuka mno na hiyo yote ni kutokana na kujifanya hawako serious na mashindano halafu ghafla tu walipoingia nusu fainali wakaamua wawe serious na kuwaokota okotea wakina Bangala mitaani huko ili waunganishe nguvu. Mara mia wangeawaacha wakina Ambundo wacheze hii mechi kwavile tayari walishakuwa na match fitness na walicheza vyema tu. Napata wasiwasi sana na wachezaji wazawa waliosajiliwa Yanga Kama wataendeleza vipaji na viwango vyao ndani ya hii timu maana naona kama wanakalili tu majina ya wachezaji badala ya uwezo wa wachezaji.
Huyu makambo aliyekuwa anafunga funga mechi zilizopita leo kapwaya sana humu na jibu linalokuja moja kwa moja kichwani ni kwamba jamaa alionalekana bora kwasababu upinzani aliokuwa anakutana nao ulikuwa wakiwango cha chini
Tukija kwa feisal ni aibu sana maana hata mipira aliyocheza leo niya kuhesabika sana, at least moloko amejitahidi
Kweli kwa iana hii ya uchezaji tunaweza kweli kuwatishia simba endapo tutafanikisha kuvuka hii stage??