FT: Yanga 0 Azam 0. Azam wametinga fainali kwa kuwafunga Yanga Penati 8 kwa 9

FT: Yanga 0 Azam 0. Azam wametinga fainali kwa kuwafunga Yanga Penati 8 kwa 9

Kiwango cha Yanga leo kimeshuka mno na hiyo yote ni kutokana na kujifanya hawako serious na mashindano halafu ghafla tu walipoingia nusu fainali wakaamua wawe serious na kuwaokota okotea wakina Bangala mitaani huko ili waunganishe nguvu. Mara mia wangeawaacha wakina Ambundo wacheze hii mechi kwavile tayari walishakuwa na match fitness na walicheza vyema tu. Napata wasiwasi sana na wachezaji wazawa waliosajiliwa Yanga Kama wataendeleza vipaji na viwango vyao ndani ya hii timu maana naona kama wanakalili tu majina ya wachezaji badala ya uwezo wa wachezaji.
Kikuweli hii yanga ya leo kwa aina hii ya uchezaji unaipa mashaka na kunifikirisha sana

Huyu makambo aliyekuwa anafunga funga mechi zilizopita leo kapwaya sana humu na jibu linalokuja moja kwa moja kichwani ni kwamba jamaa alionalekana bora kwasababu upinzani aliokuwa anakutana nao ulikuwa wakiwango cha chini

Tukija kwa feisal ni aibu sana maana hata mipira aliyocheza leo niya kuhesabika sana, at least moloko amejitahidi

Kweli kwa iana hii ya uchezaji tunaweza kweli kuwatishia simba endapo tutafanikisha kuvuka hii stage??
 
Simba atapigwa Hadi achakae tuombe wote wafuzu uone
 
Daaaaah dickson job kapiga shuti lililolenga mtambaa wa panya watu wameshangilia wakidhani goli
 
Ikiisha draw itaongezwa extra au matuta moja kwa moja?
 
Simba atapigwa Hadi achakae tuombe wote wafuzu uone
Napenda iwe hivyo ila kwa mahesabu ya escobar imekuwa rahisi kufikiria matokeo hayo ila ni ngumu kubetia matokeo kama hayo
 
Napenda iwe hivyo ila kwa mahesabu ya escobar imekuwa rahisi kufikiria matokeo hayo ila ni ngumu kubetia matokeo kama hayo
Yaan zikifuzu usipate presha yanga atampiga simba tena goli mingi mno
 
Waamuzi wafanye mchongo wawalazimishe Utopolo waende fainali hapa naona wanataka kumkimbia mnyama.
Huyu mnyama aliye pumulia mashine na ka timu no. 08 kwenye msimamo hahahaha mkuu acha utani najua waandika ila moyoni unaogopa mno

kwA taarifa tu namungo anamtoa simba
 
Back
Top Bottom