FT: Yanga 0 Azam 0. Azam wametinga fainali kwa kuwafunga Yanga Penati 8 kwa 9

FT: Yanga 0 Azam 0. Azam wametinga fainali kwa kuwafunga Yanga Penati 8 kwa 9

mi sina pakwenda nifanyaje sasa
bahati mbaya mpira wa Senegal na huu wa Yanga unachezwa kwa wakati mmoja ,imebidi niangalie tu wa Yanga nijue wapinzani wetu wapoje
 
Dickson job amelilost sana hii gemu, au atakuwa na undugu na ex spika?
 
bahati mbaya mpira wa Senegal na huu wa Yanga unachezwa kwa wakati mmoja ,imebidi niangalie tu wa Yanga nijue wapinzani wetu wapoje
Wananimalizia bando langu tu hawa
 
Yanga wanacheza kama walevi, watu tunataka goli la mapema Hawa wanaleta utani
 
Piga hovyo na kupoteza mpira na kusababisha goal kick
 
Back
Top Bottom