zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
Mechi ya kubeti ni simba na namungo hii ya yanga na simba wee kaaa subiri simba apigwe nyingi mnoUtabeti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi ya kubeti ni simba na namungo hii ya yanga na simba wee kaaa subiri simba apigwe nyingi mnoUtabeti?
hahahah mimi najiamini na yanga yanguMechi ya kubeti ni simba na namungo hii ya yanga na simba wee kaaa subiri simba apigwe nyingi mno
bahati mbaya mpira wa Senegal na huu wa Yanga unachezwa kwa wakati mmoja ,imebidi niangalie tu wa Yanga nijue wapinzani wetu wapojemi sina pakwenda nifanyaje sasa
Wananimalizia bando langu tu hawabahati mbaya mpira wa Senegal na huu wa Yanga unachezwa kwa wakati mmoja ,imebidi niangalie tu wa Yanga nijue wapinzani wetu wapoje
Hahahaha mbona yuko vizuri mkuuDickson job amelilost sana hii gemu, au atakuwa na undugu na ex spika?
Kwasabu ya ile offtarget?Hahahaha mbona yuko vizuri mkuu
Hata kukaba yuko vyemaKwasabu ya ile offtarget?
Akikutana na Dodoma jijiHata kukaba yuko vyema
Uyo ni mbabu ana kadi ya TANU uyo.Toaaa nje..Kuna babu anaonekana Amechoka.. Ntibazonkiza!
Dodoma mbali akutane na simba tu huwa wanapoteaAkikutana na Dodoma jiji