FT: Yanga 1 - 0 Coastal Union | NBC Premier League | Azam Complex | 27. 04. 2024

Jitahidi kwa update mkuu, wengi wanaoanzisha nyuzi huwa bize kushika pumb* timu zao zisifungwe na kusahau kuupdate uzi walioanzisha.
 
Leo Yanga akishinda, atakuwa amebakiza mechi 4 atangaze ubingwa pasipo kuangalia matokeo ya wapinzani wake wanaofukuzana nao ubingwa yapoje.
 
Kulikoni PACOME mbona imekua kimya sana??
KUna siku niliwaambia watu kipindi kile cha mambo ya Mamelodi pacome haumwi wakanikatalia!!!
Nikaja nikasema tena aliporudi Yao yao wakabisha saizi kila mtu anashtukia mchongo!! Wacheze kina Aucho sembuse yeye ilihali wakina Yao wamerudi
Hatukatai aliumia sana ila angekua ameshaanza hata kutokea benchi kimyaaa
 
Jitahidi kwa update mkuu, wengi wanaoanzisha nyuzi huwa bize kushika pumb* timu zao zisifungwe na kusahau kuupdate uzi walioanzisha.
Tuonane kwenye Uzi hapa.
Post #1.

Game imeanza.

Coastal Union wamevaa Red kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…