Cetshwayo Kampande
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,295
- 2,973
Dakika ya ngapi huko ? maana uzi umepoa huuJamaa wamepark bus,wamekuja kuzuia tu Leo,hawana shida ya kufunga
Machare yamewacheza wsmechagua kusoma comments tu ππDakika ya ngapi huko mbona uto wapo kimya humu ?
Aliyeanzisha uzi naye kasepa.Dakika ya ngapi huko ? maana uzi umepoa huu
Kama wanaaga maiti wanapitia mbaliMachare yamewacheza wsmechagua kusoma comments tu ππ
La ngapi hilo?Gooooaaal
Gamondi?Jamaa wamepark bus,wamekuja kuzuia tu Leo,hawana shida ya kufunga
Goal kickGooooaaal
Limekataliwa kama Lile la pale PretoriaLa ngapi hilo?
Dakika ya ngapi?Limekataliwa kama Lile la pale Pretoria
65 bila bilaDakika ya ngapi huko ? maana uzi umepoa huu
Kama wanaaga maiti wanapitia mbali
Goli lipo, subiri uone.Nimeanza kuona dalili za kufedheheshwa hapa; Yanga leo tena itanifadhaisha kwa kukosa ushindi
Lipo kwa timu ipi?Goli lipo, subiri uone.