Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Maswali mengine magumu kuyajibuAzam mbona wameandika 0
Yanga wana kasi afu hata mipira wakipoteza huwa hawaipati kwa kukaba ni simba wenyewe wanapasia wachezaji wa yanga hawana utulivu yaniMpira bado sana mzee! Na usisahau hii ni derby hivyo lolote linaweza kutokea! Sema tu Mwalimu wa Yanga amepanga kikosi ambacho si rafiki sana kwa mfumo wa simba!
Huu msimu cjui waliingiwa na kitu gani kutusajilia hiviNa msimu ujao simba irudie makosa yake kwa kusajili wachezaji wa kuwa kuza badala ya kusajili wachezaji wakali wenye ushindani kwenye mechi ngumu kama hizi
Na bado watu wataona tatizo ni kochaHuu msimu cjui waliingiwa na kitu gani kutusajilia hivi