Bora nawe umeliona hili, tangu walivyopata goli, wachezaji wanacheza ovyoila Huu Mpira Wanaoucheza Yanga Kipindi Cha Pili Wasicheze Hivi... Vinginevyo Hali Itabadilika Tangu Tupate Goli Utulivu Hakuna Kabisa Kitu Ambacho Sikutegemea
Naona unaanza kuingilia maisha ya watu.Sure boy mbona kakonda sana
Siyo Julio kweli huyu? 😁😁View attachment 2242337
Mwanayanga kosa asubiri mechi iishe yeye kaanza sherehe kipindi cha kwanza
Wewe unakula ban ya 2 weeksSometimes you gotta say fùck football and chilling getto listening to Hip Hop
Hadi sasa refa kachezesha vizuri.Hii mechi ni kubwa usifikiri ni rahisi kudhibiti presha ya mechi kubwa kama hii.kipindi cha kwanza nampa 7/10.Mwamuzi Arajiga amekuwa na makosa mengi mengi sana, sijui nani alimchagua kuchezesha mechi hii
Pole mwambaSometimes you gotta say fùck football and chilling getto listening to Hip Hop
Sio shabiki wa mpira huyuPole mwamba
Mzee hakuna lawamaPale rudisha Mzamiru kiungo then Larry Bwalya aingie toa Lwanga. Hakuna sub nyingine unaweza kufanya labda Kagere kidogo. Hii timu hata tukishinda leo wapo wa kubebeshwa lawama.
Mpira haupo hivyo kaka.KAMA MAKOLO NDO WAMACHEZA HIVI ....... KIMATAIFA NA WANATOBOA......BASI YANGA LAZIMA WAWE MABINGWA WA CAF msimu ujao
Naamini makocha wameliona hili,wanalifanyia kaziila Huu Mpira Wanaoucheza Yanga Kipindi Cha Pili Wasicheze Hivi... Vinginevyo Hali Itabadilika Tangu Tupate Goli Utulivu Hakuna Kabisa Kitu Ambacho Sikutegemea
Utulivu Hakuna Kabisa Mkuu...Faulo Za Mara Kwa Mara Kwenye Eneo La Hatari Wanachez Yanga.Bora nawe umeliona hili, tangu walivyopata goli, wachezaji wanacheza ovyo