FT: Yanga 1-0 Simba| Azam Sports Federation Cup| CCM Kirumba, Mwanza

Simba tunastahili kufungwa ,kocha afungashwe virago mapema hatutaki upuuzi
 
Wawa
Mhilu
Mgalu
Nyoni
Kagere
Boko


Hawa watu waachwe mara 1
 
Ni zamu ya Zeruzeru kuchonga mdomo.

Hongereni Yanga mwaka wenu huu. Sijasikia tena zile kelele za Karia anaipendelea Simba
Sisi tatizo letu lilikuwa viporo, yaani msimu ungekuwa kama ile ilyopita sasa hivi mngekuwa na mechi tano mkononi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…