BEDUI Jr
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 2,041
- 2,846
Tulisha kupumulia punzi ya Moto kwanyuma tukatuliaDk za mwisho yanga mlibana pumbu Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulisha kupumulia punzi ya Moto kwanyuma tukatuliaDk za mwisho yanga mlibana pumbu Sana
Badala yake tukasikia kelele za GSM kutoa bahasha za kaki, na leo kama kawaida yao wametoa bahasha za kaki kwa SimbaNi zamu ya Zeruzeru kuchonga mdomo.
Hongereni Yanga mwaka wenu huu. Sijasikia tena zile kelele za Karia anaipendelea Simba
Sisi tatizo letu lilikuwa viporo, yaani msimu ungekuwa kama ile ilyopita sasa hivi mngekuwa na mechi tano mkononi.Ni zamu ya Zeruzeru kuchonga mdomo.
Hongereni Yanga mwaka wenu huu. Sijasikia tena zile kelele za Karia anaipendelea Simba
Lakini bao moja limekuloweshaDk za mwisho yanga mlibana pumbu Sana
Wawa
Mhilu
Mgalu
Nyoni
Kagere
Boko
Hawa watu waachwe mara 1
Aende wapiiiii.........? Yaani ww unajua kuliko Don Pablo bin Madrid aliye fundisha na Zidane.Simba tunastahili kufungwa ,kocha afungashwe virago mapema hatutaki upuuzi
Alafu ikawaje mkuu?Dk za mwisho yanga mlibana pumbu Sana
Ndio wanasaidia timu wapo tayari kucheza kwa posho tu bila mshaharaWawa
Mhilu
Mgalu
Nyoni
Kagere
Boko
Hawa watu waachwe mara 1
Daa,inaumiza sana
Moyo,lakini mwisho ingekuwa mwanzoni wamepambana sanaNdio ufafanue inaumiza wapi yaani sehemu gani ya mwili unapoumia
Pole sanaDaa,inaumiza sana