FT: Yanga 1-0 Simba| Azam Sports Federation Cup| CCM Kirumba, Mwanza

Kwa kuzingatia kikosi cha Simba Sc kuelekea hii mechi, kuna haja ya kuangalia namna ya kupata kocha mpya kwaajili ya msimu ujao.

Hii mechi Simba Sc akichomoka ni kw bahati sana.
Hata kocha angekuwa Pep lazima mngefungwa tu, usimpe lawama kocha bali Yanga ya sasa ni balaa sana.
 
FEI Toto ana dribble mabeki wote na kipa wao macho yote kwa Mayele...inabidi FEI Toto afunguke....the rest is history!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…