Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mtazamo wako ukiwa na utulivu kabisa, unadhani Kibu Denis ni mchechaji mbaya?Makolo wajinga kweli kweli, yaani mlitegemea kabisa kibu denis na mzamiru waifunge yanga??
Subiri kwenye marudio usiku atarudisha na kuongeza jingineGoli liko pale pale simba anarudisha goli mida hii hii
HahaaaFakeni
😄😄😄 Watajua hawajuiMakolo wajinga kweli kweli, yaani mlitegemea kabisa kibu denis na mzamiru waifunge yanga??
Just imagine being us(YANGA)FT' Yanga 1-0 Simba
Yanga wanaelekea Fainali
Ndio uwezo wenu huoYaani kweli msimu huu sisi wa kutwaa ubingwa wa Mapinduzi Cup
[emoji23][emoji23] namnukuu Mario"ukishangilia makolo utazeheka mapema"Tumekuwa kama utopolo wa mwaka jana
Labda goli la punyetoGoli liko pale pale simba anarudisha goli mida hii hii
Hapana ni zaidi ya ubora wa wachezaji.Wala hakuna haja ya kutafuta uchawi,simba hatuna timu..tujipange msimu ujao,yanga walikua bora wanastahili.
Hana hadhi ya kuchezea Simba,Kibu ni Nchimbi anaefuga rasta.Kwa mtazamo wako ukiwa na utulivu kabisa, unadhani Kibu Denis ni mchechaji mbaya?
Bwana kolo unaumia ukiwa wap?Dk za mwisho yanga mlibana pumbu Sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Subiri kwenye marudio usiku atarudisha na kuongeza jingine
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
EheeeeeGoli liko pale pale simba anarudisha goli mida hii hii