FT: Yanga 1-0 Simba| Azam Sports Federation Cup| CCM Kirumba, Mwanza

FT: Yanga 1-0 Simba| Azam Sports Federation Cup| CCM Kirumba, Mwanza

Makolo wajinga kweli kweli, yaani mlitegemea kabisa kibu denis na mzamiru waifunge yanga??
Kwa mtazamo wako ukiwa na utulivu kabisa, unadhani Kibu Denis ni mchechaji mbaya?
 
Ila tulisema tangu awali! Simba haina bahati kwenye huu uwanja wa Kirumba. Na ndicho kilichotokea.
 
Back
Top Bottom