FT Yanga 1-0 Simba Ngao ya Jamii Jumanne Septemba 16,2025 | Benjamin Mkapa Stadium | Saa 11:00 Jioni

Simba timu ya hovyo,halafu hawajajua kuwa hawatashinda mechi Kwa huyu refa
 
Uzi uko slow nao,Poor little thimba mtapigika mpaka karia ajiuzulu. Haya mapato ya ngao karia atayala huku hana appetite. #YangaBingwa#
 
Simba wapo vizuri kuliko Yanga...

Tatizo hawachezi kitimu kama Yanga...

Kwa lugha nyingine hii ni project mpya watateseka sana kama misimu iliyopita
 
Kiukweli Yanga Wana ongoza mechi lakini wame poteza ule uwezo mkubwa walio nao miaka kadhaa iliyopita Simba wame itawala game Kwa kiasi kikubwa sana
Leo tumenyanyaswa na Diara. Kocha wala simlaumu. Wala uongozi wasipaniki kumfukuza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…