Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NA NJAATunashinda hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu wee ni muoga had unatia huruma, relaaaxxxKila la heri Yanga. Ushindi ni lazima. Maana wenzake kwenye kundi lake mpaka sasa wametumia vizuri home advantage. Hivyo na yeye hana nna nyingine, isipokuwa kushinda kwa goli nyingi.
Kufungwa au kutoa sare kutatufanya kuendelea kuburuza mkia. Na hii itawafanya mbumbumbu watusimange mpaka basi. Ingawa na wenyewe hali si hali.
Yanga nao hawataamini makwapa yao keshoAl Ahly hawataamini macho yao kesho
kabisaKikubwa
Wewe saa 10 utapata jibu la swali lako kule n jwanengNA NJAA
Kwa Ahly uko sahihiDalili ya kipigo
Unafikiri Yanga ni Redico ya Lindi!Ukiacha yanga kufungwa yaani hata wakipata shot on target moja ndani ya dakika 90 watakua wamejitahidi sana.
Msuli day....😂😂😂
Leo mida ya saa 1:00 jioni inatarajiwa kuchezwa mechi ya pili ya kundi D ikiwakutanisha mabingwa wa kihistoria wa Tanzania (Yanga) dhidi ya Mabingwa wa Kihistoria wa Afrika kutokea Misri (Al Ahly). Mechi inachezwa katika Uwanja wa Mkapa uliopo Dar es Salaam Tanzania.
Unafikiri nani ataibuka mshindi katika mechi hii?
Kaa nami katika uzi huu, nitakuletea matukio na matokeo yatakayokuwa yakijiri katika mchezo huu
Jiandaeni kusimangwa hakuna namnambumbumbu watusimange mpaka basi. Ingawa na wenyewe hali si hali.
Al Ahly mbona wakaida sana mazee...Ukiacha yanga kufungwa yaani hata wakipata shot on target moja ndani ya dakika 90 watakua wamejitahidi sana.