FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

Ngoma kupokezana, mtani na leo anakaa tena matatu mtungi.
 
Ila niliona kama matokeo yakiwa 1-2 ,lakini mwishowe nikaona yamebaki 1-1"na watu wanasema ni first half
 
Ila kwenye maono yangu niliona mashabiki wa Simba wanakimbia kwenye mabanda ya kuangalia mpira first half wakiwa na aibu kubwa
 
Navuta muda hapa nielekee uwanjani. Hivi mechi ni saa ngapi jamani? Redioni wanasema saa 10, Yanga na Google wanasema saa 1!

Nisaidieni nipate uhakika nijue natoka home saa ngapi!
Mechi ya Yanga inachezwa saa Moja usiku Mwanzo ilikuwa ichezwe saa 4 usku ila ratiba ikabadilika Kwahyo itachezwa saa 1 usiku
 
Hiyo Misuli mliyojifunga huko ndani msisahau kujifunga na nepi ... 🏟️

(1:0,0:2)
 

Leo mida ya saa 1:00 jioni inatarajiwa kuchezwa mechi ya pili ya kundi D ikiwakutanisha mabingwa wa kihistoria wa Tanzania (Yanga) dhidi ya Mabingwa wa Kihistoria wa Afrika kutokea Misri (Al Ahly). Mechi inachezwa katika Uwanja wa Mkapa uliopo Dar es Salaam Tanzania.

Unafikiri nani ataibuka mshindi katika mechi hii?

Kaa nami katika uzi huu, nitakuletea matukio na matokeo yatakayokuwa yakijiri katika mchezo huu
💚💚💚
 
Mbona UZI HAUTEMBEI.
Wana jangwani wenzangu mpo wapi?
Tusijipe unyonge.
Kufungwa ni kawaida tu.hii timu yetu.
Hata tukifungwa leo POA TU

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Madiema jana imewaua nguvu kabisa za kushangilia maana kifuatacho mmeshakijua..
Hili group lenu ni gumu sana.
 
Back
Top Bottom