FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

Jaman kikosi Cha yanga tunaomba
Screenshot_20231202_182501_Instagram.jpg
 
Tuweke uzalendo mbele, kwa kweli Itapendeza sana Yanga wakishinda njaa.
 
Kila la heri Yanga. Ushindi ni lazima. Maana wenzake kwenye kundi lake mpaka sasa wametumia vizuri home advantage. Hivyo na yeye hana nna nyingine, isipokuwa kushinda kwa goli nyingi.

Kufungwa au kutoa sare kutatufanya kuendelea kuburuza mkia. Na hii itawafanya mbumbumbu watusimange mpaka basi. Ingawa na wenyewe hali si hali.
Utapigwa tuu gongowazi
 
Mtani , tumia uwanja wa nyumbani vizuri.
Nje ya hapo utaoga , let's wait and see what happens
 
Sijui sana kiufundi nani yuko bora kwa sasa, lakini hii mechi imeshamalizwa na wazee.

Anayeombea Yanga ifungwe leo nampa tahadhari mapema ajiandae na pain killer za kumeza.

Mtakachokiona leo wengi hamtoamini macho yenu.

I have said it.
Wanga wakubwa...
 
Back
Top Bottom