FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

Yani Lomalisa leo ndio kapewa jukumu la kumkaba Percy Tau

Daaah hata kama ni kazi na unalipwa mshahara ila ni katika mazingira magumu sana.
 
Ila tuwe serious

Yani mchezaji anayelupwa Milion 600 akabwe na Lomalisa anayelipwa milion 3

Na katika hizo milion 3 bado anacheleweshewa mshahara hauji kwa wakati.
 
Yani Lomalisa leo ndio kapewa jukumu la kumkaba Percy Tau

Daaah hata kama ni kazi na unalipwa mshahara ila katika mazingira magumu sana.
Mbona anakabika tu huyo...
 
Hawa Leo watawafundisha YANGA mchezo wao wa mipira ya nyuma kuanza kwa golikipa. Kuna watu wameshawasoma na wapo kwa kazi maalumu watawsletea YANGA madhara na watajuta
 
Wazee wa hamsa hamsa tujuane mapema maana kuna mutu anaenda chezea mwiko na wazee wa hamsa wataukandamiza vyema
 
Yanga hata wafungwe tatu bila ila wakiona Azizi Ki kampiga mtu tobo hiyo inatosha kuwafanya wafurahi
 
Back
Top Bottom